Saturday, May 24, 2014

#PRAYER IS MORE THAN PETITION ITSELF, YAANI NI ZAIDI YA MAOMBI

             PRAYER is a package including Confessing, Thanksgiving, Praising God, Glorifying God, Worshiping God and Requesting, seek God's help. Therefore it is more than petition itself.
When pray, pray while knowing our Jesus of Nazareth is bigger than our problems, therefore always confess your sins before Him, praise Him, give thanks to Him and worship Him heartily, the rest He will do for you no need of much explanations as if problems are bigger than God, let Himself explain your life for His Glory.  Remember, He is the One who SAW, SEES NOW AND SEES BEYOND (Our future) i.e. even before you notice anything.
Yah, Ndio! Prayer ni zaidi ya Maombi ni package yaani kusogea mbele za Mungu (kusali) ni zaidi ya kuomba kwa maana ayajua mahitaji yetu hata kabla ya kuyataja. Kusogea mbele za Mungu yafaa sana iwe zaidi kutubia maovu tuyatendayo, Kushukuru, kumwabudu na Kumsifu. Billy Graham anasema; "Prayer is not just asking, it is listening for God's orders".
Wewe mshukuru tu Mungu, mwabudi tu, na umsifu tu uone kama hayajibu Maombi kwa kukupa mahitaji yako. Kwa hivyo neno lenyewe “Maombi” ni kikwazo cha majibu yako badilika leo mwendee Mungu Baba kwa kutubia, kumshukuru, kumsifu na kumwabudu uona kama hajafanya mambo.  Ni wewe tu mwenyewe unajiroga badilika mtizamo wako acha kubaki unasema Maombi, Maombi, Maombi,……………………..sio sahihi sana. Badilika leo ikiwezeka tafuta neno lingine la kutumia sio Maombi tu!!,Kwa maana  Mungu wetu ni  Yehova , ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu sana, mwenye nguvu sana na mwenye kuogopesha, asiyemtendea yeyote kwa upendeleo wala hakubali na hapokei rushwa. (Kumb. La Torati 10:17)
Yeye si wa  maombi tu, kwani ndugu unashaka naye?, mwenyewe alisema heri wale wasio na shaka naye (Mathayo 11:6). Maombi maombi ni ishara ya shaka saa ingine ni kama vile unakuwa unaona Yesu wa Nazareti hatekelezi au hatatekeleza, kwa maana pia Yesu wa Nazareti anasema walio na subira wa heri hao kwa maana watakula mema ya nchi (ufalme wa Mungu ni wao) wala hajasema  wale wanaoombaomba/Waombaji. Na siku hizi wengi wamefanya  ile MAOMBI kama profession fulani hivi, yaani ni kuomba na kuomba! Na pia ujue kusogea miguuni mwa Mungu si kujielezea kwamba wewe ni mtakatifu zaidi ya wengine. Mnaosoma Biblia Yesu ameelezea kwa mfano (Luka 18:10-14), kuhusu wale watu wawili (mtoza ushuru na farisayo) walio ingia ndani wakiwa wanasali, Mtoza ushuru sala zake zilikubaliwa na mwingine (Falsayo) alijiinua sana na sala zake hazikukubaliwa. Ni kwambie kitu hakunaga profession ya Maombi.  Hata Cornellius (Matendo10:2-4) alietokewa na Malaika unadhani sala na dua zake zilikuwa ni maombi tu hakuna hiyo fanya cha zaidi kama vile Mungu wetu alivyomkuu onyesha unamwamini sana sana. Watafsiri wa Biblia ya kiswahili sijui kwa nini Prayers wametafsiri kama ni Maombi sehemu nyingine, Hali tunajua Maombi ni kuomba na hali kwenda miguu mwa Mungu sio kwa kuomba tu saa ingine inaweza kuwa ni kusema asante, shukurani, kusifu au kuabudu au kutubu hayo yote kwa ujumla wake ni SALA. Lakini ujue shetani naye anaharibu popote pale na chochote kile hata ikiwa ni kutafsiri, wewe wawezatambua kuwa Maombi yako ni zaidi ya kusema Mungu naomba kitu fulani lakini mwingine anajua Maombi ni kuomba tu!, hivyo ni bora kusema "SALA" kama prayer package; ukimaanisha unapokisogelea kiti cha Rehema cha Mungu kuna kutubu, kusema asante, shukurani zako, kumtukuza, kumsifu, kumuabudu na kisha kupeleka mahitaji yako japokuwa yeye anayajua hata kabla hujayatamka.
Hata hivyo, Kumbuka yeye ni Mungu aliyeona, anayeona na ayaonayo yajayo hivyo matatizo yako si Kitu kabisa kwake.
Ooh! Yah! Jesus of Nazareth is to be worshipped, praised and thanked (Yah! Ndio!, Yeye ni wa kushukuriwa, wakusifiwa, kuabudiwa na kutukuzwa milele yote na wala sio wakisikiliza matatizo kwani Yeye haamini katika laana wala shida au nuksi na maanisha wewe mshukuru tu, msifu tu, mwabudu tu na mtukuze tu uone kama matatizo yatatawala maisha yako. Kuna msemo wa kiswahili unasema aliwazalo mjinga ndilo limtokealo, kutajataja matatizo ni kuyaamini kwamba yanakutawala na ya kwamba ni makubwa hivyo yatakutawala tu, badili mtizamo huo ubarikiwe).

In Mark 11:17 being house of prayer doesn't mean only of petitions or requests. In Mathew 6:6 prayer is more than petition itself,  Barikiwa na Bwana.



No comments:

Post a Comment