Thursday, October 9, 2014

#NEW YOUNG GENERATION OF JESUS IS NOW!

It is the time of new young generation of Jesus.
Joel the prophet prophesied in Joel 2:28-32 about this time;
28"It will come about after this That I will pour out My Spirit on all mankind; And your sons and daughters will prophesy, Your old men will dream dreams, Your young men will see visions. 29"Even on the male and female servants I will pour out My Spirit in those days. 30"I will display wonders in the sky and on the earth, Blood, fire and columns of smoke.… "The sun will be turned into darkness And the moon into blood Before the great and awesome day of the LORD comes. 32"And it will come about that whoever calls on the name of the LORD Will be delivered; For on Mount Zion and in Jerusalem There will be those who escape, As the LORD has said, Even among the survivors whom the LORD calls.
Also Peter in Acts 2:16-21 preaches that;
16but this is what was spoken of through the prophet Joel:17'AND IT SHALL BE IN THE LAST DAYS,' God says, 'THAT I WILL POUR FORTH OF MY SPIRIT ON ALL MANKIND; AND YOUR SONS AND YOUR DAUGHTERS SHALL PROPHESY, AND YOUR YOUNG MEN SHALL SEE VISIONS, AND YOUR OLD MEN SHALL DREAM DREAMS;  18EVEN ON MY BONDSLAVES, BOTH MEN AND WOMEN, I WILL IN THOSE DAYS POUR FORTH OF MY SPIRIT And they shall prophesy. 19'AND I WILL GRANT WONDERS IN THE SKY ABOVE AND SIGNS ON THE EARTH BELOW, BLOOD, AND FIRE, AND VAPOR OF SMOKE. 20'THE SUN WILL BE TURNED INTO DARKNESS AND THE MOON INTO BLOOD, BEFORE THE GREAT AND GLORIOUS DAY OF THE LORD SHALL COME. 21'AND IT SHALL BE THAT EVERYONE WHO CALLS ON THE NAME OF THE LORD WILL BE SAVED.'

Lord Jesus let me be part of your rising generation of Christ today and also grant me a heart of understanding so that i can understand you by the power of Holy Ghost, Amen.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

#KIZAZI KIPYA CHA YESU NI SASA!
Sasa ni wakati wa kizazi kipya cha Yesu.
Nabii Yoeli alitoa unabii juu ya nyakati hizi katika Yoeli 2:28-32;
28Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono;
29  tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu.
30  Nami nitaonyesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi.
31  Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya Bwana iliyo kuu na itishayo.
32  Na itakuwa ya kwamba mtu awaye yote atakayeliita jina la Bwana ataponywa; kwa kuwa katika mlima Sayuni na katika Yerusalemu watakuwako watu watakaookoka, kama Bwana alivyosema; na katika mabaki, hao awaitao Bwana.

Na Petro katika Matendo ya Mitume 2:16-21 anasema;
lakini jambo hili ni lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Yoeli,
Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri. Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi.  Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja ile siku ya Bwana iliyo kuu na iliyo dhahiri. Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.

Bwana Yesu nifanye mimi leo niwe mmoja wa kizazi kipya kinachoibukia cha Kristo na pia niumbiwe moyo wa kufahamu ili nipate kukufahamu wewe na kukuelewe vizuri kwa uweza wa Roho mtakatifu, Amina.

#MAN WHO KEEP SINNING EVEN AFTER ENCOUNTER JESUS IS A SATAN’S PARTNER

Are you a partner of Satan? (Matthew 26:14-16)
I learn this in a hard way, truly don’t act as if you are saved by Jesus while not and you don’t have His testimony of salvation in you, it is too dangerous!, Always desire to be new because you are not yet clean, that’s why Jesus says; there is no righteous one on this earth no not one, only our Almighty God, our everlasting father in heaven is righteous.
Think of Judas the son of Simon Iscariot, he encountered Jesus yet he continued sinning this is because he counted himself righteous as a follower of Jesus and he acted from the first place as if he was saved by Jesus while not. This is confirmed by his actions and behaviour since beginning of the ministry of Jesus; he was stealing from the ministry savings account since he was an accountant of the ministry, he was blaming Jesus sometimes without knowing exactly why Jesus do so!, he acted as if he knows much while he knew nothing in the sight of the Lord about God’s kingdom, he was self-centered. This costed him at last, the sin he committed of betraying Jesus of Nazareth shows that he was not really clean from the first place after meeting Jesus, he was a pretender, a partner of Satan, that’s why Jesus said, Have not I chosen you twelve, and one of you is a devil? (John 6:70).
I am not a partner of Satan.
Lord Jesus cleanses me with your precious blood so that I can sin no more, Amen.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
#YEYE ATENDAYE DHAMBI HATA BAADA YA KUKUTANA NA YESU NI MSHIRIKA WA SHETANI
Je wewe ni mshirika wa shetani? (Mathayo 26:14-16)
Nimejifunza hili kwa njia ngumu, hakika usiigize kama vile umeokolewa na Yesu hali huna ushuhuda wako wa wokovu wake kwako, ni hatari sana!, siku zote hitaji kufanywa mpya kwani bado hujawa safi, Na ndio maana Yesu anasema; hakuna aliyemtakatifu ulimwenguni hata mmoja ila Baba wa mbinguni.
Fikiri kuhusu Yuda Iskariote, alikutana na Yesu katika maisha yake na bado akaendelea kutenda dhambi hii inatokana ya kuwa alijihesabia haki toka mwanzo kwa kuwa mwanafunzi wa Yesu na kujifanya kama ameokolewa na Yesu na kumbe siyo. Hii inathibitishwa na tabia na matendo yake kwenye huduma ya Yesu, toka mwanzo alikuwa anapenda kuiba fedha kutoka katika mfuko wa huduma kwa kuwa alikuwa muweka hazina wa huduma, Saa nyingine alikuwa akimulaumu Yesu bila kujua kwa nini Yesu alitenda vile, Alijifanya pia kama mjuaji sana ya kwamba anajua kila kitu kumbe hakujua chochote kuhusu ufalme wa Mungu na ndio kwanza Yesu ndio alieuleta duniani, Alijithamini mwenyewe kwa mengi. Na haya yalimgharimu sana mwishoni; ile dhambi iliyoitenda mwishoni ya kumsaliti Yesu kwa kumuuza ili auawe inaonyesha hakika Yuda Iskariote toka mwanzo alikuwa hajatakasika kutoka dhambini alipokutana na Yesu, alikuwa anaigiza tu, alikuwa mshirika wa shetani, na ndio maana Yesu alisema; Je sikuwachagua 12 na mmoja kati yenu ni shetani? Akimaanisha Yuda kuwa ni shetani (Yohana 6:70).
Mimi sio mshirika wa shetani.

Bwana Yesu nioshe kwa damu yako ya thamani ili nisitende dhambi tena, Amina

#IT'S A BLIND WHO DESIRE TO SEE AND A DEAF WHO DESIRE TO HEAR

Are you blind?, Are you deaf?; JESUS is the Answer.
The Bible says in John 9:39-41; And Jesus said, "For judgment I came into this world, so that those who do not see may see, and that those who see may become blind." Those of the Pharisees who were with Him heard these things and said to Him, "We are not blind too, are we?”, Jesus said to them, "If you were blind, you would have no sin; but since you say, 'We see,' your sin remains".

I am blind, I am deaf
I desire to see, I desire to hear
I desire to see and hear you Lord Jesus of Nazareth
Help my faith in you to be great by the power of Holy Ghost, 
Lord Jesus open my inner eyes so i can see you clearly, open my inner ears so i can hear you crystal clear, Amen

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
NI KIPOFU NDIYE ATAMANIYE KUONA NA NI KIZIWI NDIYE ATAMANIYE KUSIKIA
Je wewe ni Kipofu?, Na je wewe ni Kiziwi?; YESU ndiye jawabu lako.
Biblia inasema katika Yohana 9:39-41; Na Yesu akasema,” kwa ajili ya hukumu nalikuja duniani, ili wale wasioona wapate kuona na wale wanaoona wawe vipofu.” Mafarisayo waliokuwa pamoja nae waliyasikia hayo wakamwambia, “Je na sisi ni vipofu?”, Yesu akawaambia; Kama mngalikuwa vipofu, msingekuwa na dhambi lakini kwa kuwa mmesema twaona, dhambi ingalimo ndani yenu.

Mi ni Kipofu, Mi ni Kiziwi
Natamani kuona, Natamani kusikia
Natamani sana kukuona na kukusikia ewe Bwana wangu Yesu

Niwezeshe Imani yangu kwako iwe kuu, kwa uweza wa Roho Mtakatifu,
Bwana Yesu fungua macho yangu ya ndani ili nikuone wewe, na fungua masikio yangu ya ndani nikusikie wewe vizuri kabisa, Amina

Wimbo huu wa JOHN LISSU ukubariki; YESU FUNGUA MACHO YANGU YA NDANI NIKUONE/JESUS OPEN MY INNER EYES SO I CAN SEE YOU.

#DEPEND ON JESUS OF NAZARETH; MAN IS A MERE VAPOR [PSALM 62:5-12]


This is beyond doubt "Depend on JESUS of Nazareth; Man is a mere vapor"
*Surely men of low degree are vanity, and men of high degree are a lie: to be laid in the balance, they are altogether lighter than vanity [Psalm 62:9].

Also James 4:14 says that we are just a vapor that appears for a little while and then vanishes away; for we live blindly without knowing how our life will be like tomorrow.

Kwa hivyo nasema tena na hii ni uhakika kabisa “Mtegemee YESU wa Nazareti; Mwanadamu ni Ubatili” yaani mwanadamu ni kama mvuke uonekanao kwa kitambo na kisha hutoweka. Yatupasa sana kumtegemea Bwana Yesu, kumtumainia Yeye pekee ili tujifunze kwake yahusuyo Ufalme wa Mungu na hata Biblia katika Zaburi 125:1 inazungumzia kuwa wamtumainio na kumtegemea Bwana (Yesu wa Nazareti) ni kama mlima sayuni hautatikisika milele daima. Soma zaidi pia; Isaya 40:31, Zaburi 62:5-12, Zaburi 1:2-4, Yeremia 17:5-8, Mithali 4:23 na Kumb.28 kuhusu msisitizo wa kumtegemea Bwana Yesu na Baraka zitokanazo na utegemezi huo.

Bwana Yesu katika Yeremia 17:5-8 anasema;-
  •  Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu
5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Bwana.
6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.


  •  Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea yeye Bwana Yesu wa Nazareti
7  Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, ambaye Bwana ni tumaini lake.
8  Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.

Barikiwa na Bwana ewe kanisa la Mungu katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti, Amina.

Soma pia Isaya 40:15 na mstari wa 17, utaona na kutambua kuwa Roho mtakatifu ndio kila kitu kwa mwanadamu.

http://www.slideshare.net/Recknald/depend-on-jesus-of-nazareth-man-is-a-mere-vapour