Are
you a partner of Satan? (Matthew 26:14-16)
I learn this in a hard way, truly don’t
act as if you are saved by Jesus while not and you don’t have His testimony of salvation
in you, it is too dangerous!, Always desire to be new because you are not yet clean, that’s why Jesus says; there is no righteous one on this earth no
not one, only our Almighty God, our everlasting father in heaven is righteous.
Think
of Judas the son of Simon
Iscariot,
he encountered Jesus yet he continued sinning this is because he counted
himself righteous as a follower of Jesus and he acted from the first place as
if he was saved by Jesus while not. This is confirmed by his actions and
behaviour since beginning of the ministry of Jesus; he was stealing from the
ministry savings account since he was an accountant of the ministry, he was
blaming Jesus sometimes without knowing exactly why Jesus do so!, he acted as
if he knows much while he knew nothing in the sight of the Lord about God’s
kingdom, he was self-centered. This costed him at last, the sin he committed of
betraying Jesus of Nazareth shows that he was not really clean from the first
place after meeting Jesus, he was a pretender, a partner of Satan, that’s why Jesus
said, Have not I chosen you
twelve, and one of you is a devil?
(John 6:70).
I
am not a partner of Satan.
Lord
Jesus cleanses me with your precious blood so that I can sin no more, Amen.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
#YEYE ATENDAYE DHAMBI HATA
BAADA YA KUKUTANA NA YESU NI MSHIRIKA WA SHETANI
Je
wewe ni mshirika wa shetani? (Mathayo 26:14-16)
Nimejifunza hili kwa njia ngumu, hakika usiigize
kama vile umeokolewa na Yesu hali huna ushuhuda wako wa wokovu wake kwako, ni
hatari sana!, siku zote hitaji kufanywa mpya kwani bado hujawa safi, Na ndio
maana Yesu anasema; hakuna aliyemtakatifu ulimwenguni hata mmoja ila Baba wa
mbinguni.
Fikiri
kuhusu Yuda Iskariote, alikutana na Yesu katika maisha yake na bado akaendelea
kutenda dhambi hii inatokana ya kuwa alijihesabia haki toka mwanzo kwa kuwa
mwanafunzi wa Yesu na kujifanya kama ameokolewa na Yesu na kumbe siyo. Hii
inathibitishwa na tabia na matendo yake kwenye huduma ya Yesu, toka mwanzo
alikuwa anapenda kuiba fedha kutoka katika mfuko wa huduma kwa kuwa alikuwa
muweka hazina wa huduma, Saa nyingine alikuwa akimulaumu Yesu bila kujua kwa
nini Yesu alitenda vile, Alijifanya pia kama mjuaji sana ya kwamba anajua kila
kitu kumbe hakujua chochote kuhusu ufalme wa Mungu na ndio kwanza Yesu ndio
alieuleta duniani, Alijithamini mwenyewe kwa mengi. Na haya yalimgharimu sana
mwishoni; ile dhambi iliyoitenda mwishoni ya kumsaliti Yesu kwa kumuuza ili
auawe inaonyesha hakika Yuda Iskariote toka mwanzo alikuwa hajatakasika kutoka
dhambini alipokutana na Yesu, alikuwa anaigiza tu, alikuwa mshirika wa shetani,
na ndio maana Yesu alisema; Je sikuwachagua 12 na mmoja kati yenu ni shetani? Akimaanisha
Yuda kuwa ni shetani (Yohana 6:70).
Mimi
sio mshirika wa shetani.
Bwana
Yesu nioshe kwa damu yako ya thamani ili nisitende dhambi tena, Amina