Tuesday, May 27, 2014

#TO DO IMPOSSIBLE YOU MUST BELIEVE THAT IMPOSSIBLE CAN BE POSSIBLE (1)

Believe that impossible can be possible, in the extent that no one can believe you. 
Namjua mtu mmoja wa Mungu (Mtumwa wa kristo) alikuwa akitembea tembea mjini ghafla roho wa Bwana akamjaa kwa nguvu sana kwa namna ambayo hakuweza kujicontrol, hapo akiwa nje ya hotel moja kubwa yenye sanamu za watu kwenye malango ya kuingia hotelini, huku wateja wengine wa hiyo hotel wakiwa wamejilaza nje kwenye sehemu za kupumzikia. Yule mtu wa Mungu akaziendea sanamu za udongo mfano wa watu zilizoweka milangoni mwa kuingia katika hoteli hiyo bila kumuuliza mtu yeyote akaanza kuzitikisa kwa nguvu huku akisema "nakutamkia uzima katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti, Mungu akufanye hai sasa hivi" ndipo sanamu moja baada ya nyingine zikaanza nazo kutetemeka, kujongea kwa maagizo yake na kuruka ruka, na uhai ukawajaa ndani mwao na wakaanza kuruka, wakifurahi huku wakipaza sauti wakisema asante Yesu! asante Yesu!, wale watu waliokuwa maeneo hayo ya hoteli wakaanza kushangaa kupita maelezo wakisema jamani si zilikuwa sanamu zile au sisi tuliona vibaya. Lakini yule mtu wa Mungu akaendelea na kazi akaona pia sanamu ndogo kama mtoto mdogo akaiendea na akaitikisa kwa kusema vile vile " Nakutamkia uzima katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti, Mungu akufanye hai sasa hivi" na ikawa hivyo, yule mtoto mdogo akiruka ruka na kufurahi huku akipaza sauti akisema asante Yesu! asante Yesu! mtu wa Mungu akamuuliza unaitwa nani? yule mtoto akasema mimi sijui jina langu, mtu wa Mungu akamwambia kuanzia sasa utaitwa Angel, akaenda kwa furaha huku akisema kwa watu mbalimbali mimi naitwa Angel. Yote hayo yalitokea huku watu wakibaki na mshangao wa kupita maelezo kuhusu miujiza hiyo lakini mwisho Yesu wa Nazareti akatukuzwa mahali pale kuwa ni Kristo na anaweza yote na ya kwamba hakika yeye ni Mungu mkuu, kwani ni nani awezayo kuyatenda hayo isipokuwa Mungu mwenyezi.

If this can happen in this way it means nothing is impossible to our God, we are the one who are impossible but to the Holy ghost all can simply be done. Satan is completely not the creator or powerful of anything but just the user of God's creation and power and actually he was created by God also, he is called a thief for he did not authorized to anything that's why Jesus of Nazareth said that he is already judged. He always play tricks on us as if has ownership of something while he own nothing, if he use power its nothing I tell you, he simply powerful in our ignorance because he is the first to be ignorant and ignorance is the lack of God's knowledge. He also advantageous in our situation of being ignorant by being not able to its totality to understand that all has given to us since beginning of the earth so, our ignorance is his power that's what thief is i.e. our unawareness is his lifetime opportunity to win us. So brethren be awaken right now! from that darkness that overpowered you for longtime; say that am light, am powerful in Jesus Christ mighty name.

By the way,
How can you be mighty man in Christ if you don't believe in mighty things or mighty men of God? you keep saying it is the power of devil or it is a lie until you became liar yourself and nothing, like the way Satan (father of liars) is nothing and powerless, Amen.