#SADAKA YANGU SALA YANGU [MY SACRIFICE MY PRAYER]

    Sadaka yangu ni sala yangu na dua yangu, kile kinachonigharimu na moyo wangu kwa Bwana ndio dhawabu yangu yaani lile jawabu nilitumainilo kwake. Bwana akubali sala zako kipitia moyo wako uutoao kwake kwa ishara ya sadaka uzitoazo. Sala zako kama maombi ama dua zi kelele mbele za Bwana kama hazipimiki kwa moyoni, kupitia dhabihu uzitoazo, kwani kigusacho moyo wako kama gharama kwako chavuta jawabu la Bwana kwa kile ulichokiomba. 
Hata Daudi Mfalme alitenda makosa kwa Bwana akasali na kuomba sana na halikuwepo jawabu toka kwa Bwana, mpaka pale nabii Gad alipomwamuru Daudi akajenga madhabahu na kutoa sadaka za kuteketeza ndipo alipopata jawabu kutoka kwa Bwana, kwa hivyo haikuwa sala zake bali sadaka zake ndizo zilizokuwa suluhisho (2 Samueli 24:17-25).
Hata ukisoma biblia, wafalme wa 2 sura ya 3 yote utaona siri, ya kwamba saa nyingine hata unabii uliotolewa na Bwana kupitia Nabii wake hauzidi nguvu ya sadaka. kwa maana nyingine sadaka kuu inayotolewa kupinga huo unabii inaweza kushinda. Ya kwamba mmoja kapewa unabii na mwingine katoa sadaka yake kuu madhabahuni kwa machozi kusema hapana sikubali, sadaka yake kuu iliyotolewa madhabahuni na yule mpinzani inaweza kutangua huo unabii kama usipokuwa mwerevu kiroho kulinda huo unabii kuwazidi wapinzani wako. Na zaidi kama maadui zako wakitoa sadaka ya damu kutangua unachokitaka kwao hata Bwana hatakuruhusu tena ukipate kwa sababu ya unajisi wa damu iliyomwagwa madhabahuni, sababu damu huzungumza wala haikomi, hivyo hitaji lako ambalo adui amelimwagia damu hata malaika aliyetumwa kukufanyia nyara, kukukabidhisha hatatenda sawa na hitaji lako labda ujue siri na kwa hekima ya Mungu uwe tayari kutoa dhabihu itakayotangua pingamizi lao (Kutoka 12:13).
Ushindi wako u katika sadaka ambazo huugharimu moyo wako kuliko vile utuliavyo katika sala na maombi pasipo dhabihu, sadaka ya kumgusa Mungu. Ni kweli hii hakika, wengi kwenye biblia walijibiwa mahitaji yao pale walipotoa dhabihu, sadaka zilizowagharimu moyo yao kuliko vile walivyokaa na kusali pekee kwani maombi yao tupu hayakuleta majibu kutoka kwa Mungu.
Ndugu! sadaka kwanza, sala zifuate ndipo mahitaji yako yatakapopata majawabu kamili toka kwa Mungu.

Power  of sacrifice:
David prayed to Lord, "And David spake unto the Lord when he saw the angel that smote the people, and said, Lo, I have sinned, and I have done wickedly: but these sheep, what have they done? let thine hand, I pray thee, be against me, and against my father's house".
David Builds an Altar. On that day Gad went to David and said to him, “Go up and build an altar to the Lord on the threshing floor of Araunah the Jebusite.” So David went up, as the Lord had commanded through Gad.When Araunah looked and saw the king and his officials coming toward him, he went out and bowed down before the king with his face to the ground. Araunah said, “Why has my lord the king come to his servant?”“To buy your threshing floor,” David answered, “so I can build an altar to the Lord, that the plague on the people may be stopped.”Araunah said to David, “Let my lord the king take whatever he wishes and offer it up. Here are oxen for the burnt offering, and here are threshing sledges and ox yokes for the wood. Your Majesty, Araunah gives all this to the king.” Araunah also said to him, “May the Lord your God accept you.”But the king replied to Araunah, “No, I insist on paying you for it. I will not sacrifice to the Lord my God burnt offerings that cost me nothing.”So David bought the threshing floor and the oxen and paid fifty shekels[b] of silver for them. David built an altar to the Lord there and sacrificed burnt offerings and fellowship offerings. Then the Lord answered his prayer in behalf of the land, and the plague on Israel was stopped." 2 Samuel 24:17-25.

Let victory be in my life by my sacrifice in the power of Holy Ghost in Jesus Christ name, Amen.

No comments:

Post a Comment