Saturday, February 12, 2022

#NIA YAKO NI NINI?


 NIA yako ni nini!? 

Mwanadamu yeyote aliyemwamini Bwana ajiamini kwa imani hiyo na iwapo na nia kupo kuishi kusudi. Nia hukufanyia lengo imara na  kusudi huwa wazi zaidi.  Nia huimarisha maono na kuyathibitisha duniani. Ona Musa na nia ya kuwakomboa wana wa Israeli Misri wala haikuwa shida kwake hata kujitenga miaka 40. Mwanadamu mwenye nia hapingiki kulielekea kusudi la maisha yake, yaje mafuriko, ije dhoruba, uje moto na kila aina ya maudhi, kukataliwa na makwazo yote. Nia iliyokuwa ndani yake Bwana iwe kwako pia, nayo shauku isikauke kufikia kusudi, Yesu Kristo alionyesha ustahimilivu mpaka ushindi katika yote, nawe waweza ukashinda.

#UMEMJUA? UMEMUELEWA? UMEJITAMBUA VIZURI??

 Isaiah 40:28; No one can fathom His understanding.

Danieli 9:22 over 30/40s alielimishwa na kuambiwa na mailaka mkuu kuwa, “Danieli, sasa nimekuja kukupa akili na ufahamu''. Years back' was he not knowledgeable?? pamoja na mfalme kumwamini yeye kuwa bora kuliko wote ufalmeni (Daniel 6:3). Atleast understand in this world we are just wrestling na kule kujua kwetu kusikotuelewesha vizuri kwamba hatujui bado itupasavyo, this is truth even time we are here is not enough to make us understand all. Imagine hata wale wasemao kuwa ndio washikiliao mifumo ya dunia hii they even don't understand or know exactly why they do what they do.

Duniani u ndani ya fumbo kuu' we all try to fathom it while claim living.. Ubatili ni mwingi sana na hivyo kila kusonga mbele kwetu haimaanishi tunajua, au tunajielewa ama tunaufahamu wote' ni kama kondoo... La kheri jitahidi kumfahamu Mungu na kumjua sana ili ujijue wewe na uumbaji wake wote..

Kumbuka; "Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua''.

~1 Wakorintho 8:2.

Kila siku tunatambua 'aha! moment' kwa maana bado sana, hivyo zidi kutambua hata kama ni kwa sehemu tendea kazi, tumia ufahamu vizuri. Maisha ni kung'amua ng'amua mafumbo yako na ishi huru si kitumwa.

Only your mind by God's power in Jesus name and His wisdom can free your soul from all ignorance. 

And if you are spiritual conscience be also mindful conscience. For;

-Your mind your freedom

-Your mind your solution

-Your mind your heart, as your deposits in your heart is a product of your mind.

-Your mind gateway to eternity as in heart eternity set.

Have mindset well, take care! what's in your mind not in your pocket, is what determine your future.

#mindyourmind