Friday, June 27, 2014

#RUACH OF GOD MY LIFE

      In the Tanakh, the word ruach generally means wind, breath, mind, spirit. Job in the Holy Bible spoke of ruach saying; “The ruach of God (from God) is in my nostrils (Job 27:3)”. In mankind, ruach further denotes the principle of life that possesses reason, will and conscience. Also Job 33:4 says; “The Spirit of God hath made me, and the breath of the Almighty hath given me life”.
 Jesus of Nazareth says in John 3:8 that; “The wind blows wherever it pleases. You hear its sound, but you cannot tell where it comes from or where it is going. So it is with everyone born of the Spirit.” (“Upepo huvuma kuelekea upendako; waisikia sauti yake, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda. Ndivyo ilivyo kwa mtu aliyezaliwa kwa Roho”. – Yohana 3:8). The book of Ezekiel 37:9-10 also speaks of ruach by saying; "Then He said to me, "Speak a prophetic message to the winds, son of man. Speak a prophetic message and say, 'This is what the Sovereign LORD says: Come, O breath, from the four winds! Breathe into these dead bodies so they may live again. So I spoke the message as He commanded me, and breath came into their bodies. They all came to life and stood up on their feet--a great army.'"

#KUWA WA JUU KUPITIA KWA ALIYE JUU

Ni rahisi mwanadamu wa juu kushuka chini na kwenda juu bali wa chini kwenda juu ni ngumu sana inahitaji msaada wa aliyejuu. Kwa kuwa wa juu ana nguvu, ameona mengi na anamaarifa mengi kuliko alivyo wa chini, huyo ndiye awezaye msaidia wa chini na kumpandisha juu. Hivyo ni mwana wa adam aliyeko juu tu ndiye awezayo kuwainua wa chini na kuwapeleka juu, vinginevyo tunajidanganya tu.
Kwa hivyo wote tunamhitaji Yesu kristo wa Nazareti tupate uzima wa milele na baraka pia kwa kuwa yeye yu juu ya vyote (Efeso 1:20-23) kama vile Neno linavyosema katika Yohana 3:31 kwamba ajaye kutoka juu huyo yu juu ya vyote. Amina