
Kwa hivyo wote tunamhitaji Yesu
kristo wa Nazareti tupate uzima wa milele na baraka pia kwa kuwa yeye yu juu ya
vyote (Efeso 1:20-23) kama vile Neno linavyosema katika Yohana 3:31 kwamba
ajaye kutoka juu huyo yu juu ya vyote. Amina
Imba hii tenzi ya rohoni kama Sara K kwa Neema ya Mungu upate kuvutwa kwake kupitia Bwana wetu Yesu Kristo wa Nazareti.
No comments:
Post a Comment