Zaburi 138:2; Nitasujudu nikilikabiri hekalu lako takatifu, nitalishukuru jina ako, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako lote.
1 Kor. 3:17; neno linasema kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.
Njia ya Ufalme kukamilishwa ndani yako is not your father way, mother way, relatives way, friends way, government way ni Hekalu, (the temple is only Kingdom Way), navyosema hekalu na maana not other than you, yaani wewe, na mwana wa Mungu huwezi kukamilika usipopenda kufanya ibada ya kweli ya rohoni kwa Mungu baba (aliye wa rohoni aabudiwaye ktk roho na kweli), ile kujumuika na wana wa Mungu wenzako ktk kumsifu na kumuabudu Mungu. Kwa sababu ndio njia yaani hekaluni ndipo kulikokuwa njia ya msalaba (yaani kule kuutoa mwili kuwa dhibihu safi iliyo hai, takatifu, yakumpendeza Mungu- Warumi 12:1-2), hivyo huwezi kuufikia ama kuuishi ufalme wa Mungu pasipo kupitia hekaluni kujitwika msalaba wako kupitia humo.
Yesu alijivika mzigo wa hekalu ndani yake na mabaya na maovu yote, na kuwa tayari kwa yote ili kulifanya upya akasema hekalu hili kama ishara kuwa yeye ni mwana wa Mungu ya kwamba kwa namna ya mwili wake akasema nitalibomoa hekalu na siku ya tatu kulijenga upya; hiyo akimaanisha atautoa sadaka mwili wake kama mwanakondoo takatifu ya pasaka lakini siku ya tatu atauinua tena, na yote yatakuwa mapya (Isaya 43:19) kwa kuimwaga damu yake,
kwa maana Biblia inasema hakuna ondoleo la dhambi pasipo kumwagika damu, ndio! yale mabaya, maovu yaliyoipoteza haki ya wanadamu wote, nami nasema kumwagika kwa damu ya Yesu kulitupa pia haki ya kuwa wana wa Mungu, na kule kuwa wana wa Mungu kukatufanya kuwa huru na dhambi (Son of God is Sin-Free).
Njia ya kuukamilisha ufalme wa Mungu duniani ilikuwa ni kupitia hekalu, ndio maana unaweza jiuliza, kwa nini pazia la hekalu lilipasuka Yesu alipoitoa roho yake ktk mwili? ndipo utajua lengo na azima yake ilifikia pale baada ya yeye kufanyika sadaka ya damu kwa niaba ya wanadamu wote na madhaifu yao ile veil ya patakatifu pa patakatifu ikapasuka, akawa mzaliwa wa kwanza kama adamu wa pili ktk wazao wengi ikiwa ni pamoja na mimi na wewe, na kwa kuwa sadaka kwa damu yake kama mwanakondoo aliyechinjwa, akamnunulia Mungu watu kila jamaa, kabila, rangi, taifa kuwa makuhani kwa Mungu naye akainuliwa juu nakufanyika ndio kuhani mkuu milele kwa mfano wa Melchizedeki, kwa sababu alipenda haki akachukia maovu/mabaya; ndiye kuhani wa kweli; wakili na mtetezi wetu mbele za Baba wa mbinguni nasi tumefanyika warithi pamoja naye.
Kwa kufanyika yeye mwenyewe sadaka ya pasaka (paschal lamb), ikabadilisha kila kitu kwamba hekalu la Mungu si kwa nyumba iliyojengwa kwa mawe na tofali bali kwa mwili wako. Na alikuwa amekwisha sema kwa mama msamaria kwamba saa yaja ambayo hamtamwabudu Mungu hekaluni kule bali, katika roho na kweli kwani Mungu ni roho, na saa ile ilipotimia ikawa.
Just as the whole truth can not be confined in the pages of the bible, he can not be confined in the walls of house you call temple neither, but in you, in assembly of true believers, gods, and regardless of the location. He is more than the pages of the whole bible combined, he trust you and love you, more than these kinds of material buildings, we call it temple or house of God, whilst you are. So, rejoice, be glad put the devil on the run now and have a lot of fun today, hallelujah!🙏🏾.
No comments:
Post a Comment