#IJUE NDIYO YA YESU NA SIYO YA YESU.

Ni kweli kabisa kabisa Ijue "NDIYO" ya YESU na "SIYO" ya YESU.
Kwa maana ndiyo ya Mwanadamu inaweza kuwa siyo kwa MUNGU,
na siyo ya Mwanadamu inaweza kuwa ndiyo kwa MUNGU.

Hivyo kwa uweza wa ROHO MTAKATIFU,
ijue NDIYO ya MUNGU katika siyo zao 
na SIYO ya MUNGU katika ndiyo zao, UTAFANIKIWA Hakika!!

Yah! ndiyo, Uwana wa Adamu unaubatili mwingi sana,
Ashukuriwe YESU wa Nazareti kwa kutujuza KWELI, 
kutuweka sawa na kutufanya Wana wa MUNGU. 

No comments:

Post a Comment