#KUPENYA VIPINGAMIZI NI PAMOJA NA KUCHUKUA HATUA KIROHO NA KIMWILI KUPENYA ULIPOZUIWA

Nimetambua jambo moja yakuwa kuvunja vifungo vinavyotufanya tusifikie ahadi zile haki zetu si tu Kwa kufunga, kuomba na sala Bali ni pamoja na kuvuka au kupenya vipingamizi, kuvuka vizuizi ulivyowekewa kama laana. 

Hivyo chukua hatua pia kiroho na kimwili kuhakikisha Kwa moto Kwa radi unavuka hiyo laana. Iwe kwenda ulaya, kuwa bilionea, kusoma sana, kuwa kiongozi, kutawala, panga mikakati usikae tu na kuomba tu hapo huwezi vuka tengeneza mahusiano ya kukufikisha kwenye maono yako na kusudi. 

‪#‎Tutashinda‬ ktk jina LA Yesu, kwani ni yeye aliyetushindia yote pale kalvari.

No comments:

Post a Comment