#MUNGU MKUU

Cheki hii sauti zikasikika zikisema; amekufa! amekufa tayari!, Mtu mmoja akamsogelea akasikia mapigo ya moyo Kwa mbali sana yaani kama hamna na vipimo vilionyesha hamna kabisa, sasa yeye kasikiaje?, Imani. 
Akasema Kwa sauti ya ujasiri "yu ngali hai huyu!" Mungu yu ndani yake, Afu akatamka "Mungu na iishi nafsi hii sasa", ikawa hivyo.

Unaona kumbe Ishu sio maombi,

Ishu ni kwamba MUNGU anaishi ndani yako na wala sio Mpangaji, anakumiliki.

Unatambua hilo?

Ni nani sasa katufanya tuone ule Uungu ndani yetu kuwa ni mdogo kiasi cha kutaka kukopa Kwa wengine, ujue ni MUNGU wala si kakitu fulani aliyopo ndani yako.

Acha kulialia na laana, mauti, badala ya kufurahia baraka na uzima tulionao ktk kristo Yesu.

No comments:

Post a Comment