#MY TONGUE IS THE PEN OF A READY WRITER / ULIMI WANGU NI KALAMU YA MWANDISHI STADI

My tongue is the pen of a ready writer. Lord Jesus of Nazareth help me so that through this tongue i can speak and write my destiny; good matter that comes from my heart for my life and my descendants, Amen (Psalm 45:1)

Ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. Bwana Yesu niwezeshe kwa ulimi wangu huu nijitamkie na kujiandikia majaliwa kwa yaliyo mema yafurikayo kutoka moyoni yahusuyo maisha yangu na kizazi changu, Amina (Zaburi 45:1)