#TAMBUA NGUVU KUU ULIYONAYO KATIKA KRISTO YESU

Kuna nguvu ktk kristo ndani yako ambayo bado hujawahi kuitumia ndio maana bado hujaweza kuvuka hivyo vipingamizi na hizo laana.
Kwa maana ilikupasa kuvuka hapo tangu kale kwani alishatushindia yeye Yesu. Hivyo tambua siri ya nguvu uliyonayo ushinde sasa ktk jina la Yesu Kristo.

Rejea: Luka 1:80, 4:14, 8:46, Mithali 24:10.

MTU Wa Mungu, BG Malisa (Nabii)

No comments:

Post a Comment